Kim Kardashian na Kanye West
wametumia dola 8,000 Jijini Paris katika manunuzi ya nguo wakati
wakijiandaa na harusi yao.
Wanandoa hao watarajiwa wamepanga
kufunga ndoa yao Florence nchini Italia mwishoni mwa wiki hii,
walionekana katika mji mkuu huo wa Ufaransa wakiingia katika maduka
kadhaa makubwa.
Wawili hao walionekana wakiwa wenye
furaha wakati wote huku wakiwa wanashikana mikondo kuonyesha namna
penzi lao lilivyoshamiri na kuota mizizi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni