Uongozi wa kiwanda cha ngozi cha Arusha, wakiwa wanawaangalia wananchi wa kata ya Sokoni One walioandamana hadi kiwandani hapo kupinga kutiririsha maji machafu katika makazi yao. Baadaye kiwanda hicho kilifungwa kwa muda usiojulikana.
Viongozi wa wananchi wakiwa wanateta jambo kiwandani hapo
Muonekanao wa mazingira ya kiwanda hicho cha Ngozi jijini Arusha
Wananchi wa kata ya Sokoni One wakiwa wamekusanyika kiwandani hapo kutaka uongozi wa kiwanda hicho kiyadhibiti maji machafu yanaelekezwa katika makazi yao.
Askari Polisi wakiimarisha usalama kiwandani hapo wakati wananchi wa Sokoni One walipoandamana hadi kiwandani hapo kupinga hatua ya uongozi wa kiwanda hicho kutiririsha maji machafu katika makazi yao, hali inayotishia usalama wa afya zao
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni