.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Mei 2014

KUTOKA RWANDA KUNAKOFANYIKA MKUTANO WA MWAKA WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA ( AFDB )


Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Afrika waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ambao ulifunguliwa na Mh.Rais wa Rwanda Paul Kagame. Mh.Kagame katika hotuba yake alisisitiza kuzijengea uwezo sekta binafsi ili Afrika iweze kufikia uchumi wa kati kwa kipindi cha Miaka 50 ijayo. Aidha katika kufikia lengo hilo Rais Kagame alisema hatuna budi Afrika kuachana na Migogoro na kutekeleza kwa vitendo makubaliano yanayoafikiwa na Viongozi wa Afrika ili kujenga uchumi imara kwa vizazi vijavyo.
 

Kikundi cha Ngoma za asili cha Bollet Nationol – URUKEREREZA cha jijini Rwanda kikitumbuiza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaofanyika Rwanda.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni