.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Mei 2014

RAIS WA TFF, JAMAL MALINZI AKUTANA NA RAIS NA KATIBU MKUU WA FIFA MJINI ZURICH


Rais wa FIFA, Sepp Blatter ( kushoto) na Katibu Mkuu wa FIFA, Jerome Valcke ( kulia ) wakiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF, Jamal Emil Malinzi, walipokutana jana Alhamis, tarehe 22 Mei, 2014 kwenye makao makuu ya FIFA, jijini Zurich, Switzerland.
Rais wa FIFA, Sepp Blater akiwa na Rais wa TFF, Jamal Malinzi katika makao makuu ya Shirikisho hilo mjini Zurich hapo jana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni