.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Mei 2014

WATU WAWILI AKIWEMO ASKARI POLISI WAJERUHIWA KWA BOMU MOMBASA

Watu wawili akiwemo askari wa jeshi la Polisi nchini Kenya wamejeruhiwa kwa bomu usiku wa kuamkia leo huko Mombasa baada ya mshambuliaji kurusha bomu la mkono, wakati walipokuwa wakieleka kituoni mtuhumiwa waliyemkamata katika mtaa wa Mwembe Tayari. 

Wawili kati yao walijeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika Hospitali ya Joachim kwa matibabu na baadaye kuhamishiwa katika hospitali kuu ya Mombasa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni