
Ndege za kijeshi zikiunda umbo la "20" kuashiria miaka ishirini ya Uhuru kamili wa Afrika Kusini katika sherehe za kuapa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini kwenye ukumbi wa wazi wa Mandela katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria, Afrika Kusini, leo Mei 24, 2014
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni