Mke wa Spika wa Kaunti ya Embu,
Justus Kariuki Mate ametaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Kenya David
Kimaiyo kulazimishwa kumtoa mumewe ambaye ametoweka.
Bi. Caroline Wangari amesema mumewe
ametoweka wakati akienda kuonana na afisa wa polisi, tangu jumatatu
na anaamini amekamatwa na polisi na yupo kizuizini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni