.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 18 Mei 2014

PEP GUARDIOLA AKIRI KUWA ALIKUWA NA WAKATI MGUMU KATIKA MWAKA WAKE HUU WA KWANZA UJERUMANI

Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola amekiri kuwa amepitia wakati mgumu mwaka huu tangu achukue majukumu ya kuinoa klabu hiyo ya Ujerumani.

Bayern imefanikiwa kutwa kombe la nne kwa mwaka huu baada ya kuifunga Borrusia Dortmund kwa mbao 2-0 katika fainali ya kombe la Ujerumani.

Guardiola amenukuliwa akisema kuwa mwaka huu ulikuwa mgumu kwake nchini Ujerumani, hata hivyo anajisikia vyema kutwa ubingwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni