Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni
inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na
Bagamoyo) na mkoa wa Tanga Bi. Zahra Kayugwa akiwa katika picha ya
pamoja na Maafisa wa PPF katika viwanja vya Tangamano. Mfuko wa
Pensheni wa PPF unawakaribisha Wanachama na Wadau wote kutembelea
katika banda lao ili kupata elimu kuhusu mafao na huduma mbali mbali
zitolewazo na PPF.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt.
Abdallah Kigoda akisikiliza kwa makini maelezo ya Mfuko wa Pensheni
wa PPF kutoka kwa Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha
wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na
mkoa wa Tanga Bi Zahra Kayugwa wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya 2
ya Kibiashara mkoani Tanga.
Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni Bi.
Zahra Kayugwa akiwa katika picha pamoja na washiriki wengine wakati
wa ufunguzi wa Maonesho ya 2 ya Kibiashara mkoani Tanga katika
viwanja vya Tangamano.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni