Rais mteule wa Afria Kusini, Jacob Zuma ataapishwa leo mchana Ikulu ya Pretoria, kuendelea kwa kipindi kingine cha pili cha miaka mitano kuliongoza taifa hilo.
Zaidi ya wageni waalikwa 4,000 wanatarajiwa kushuhudia tukio hilo akiwemo Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe.
Zuma anaapihswa baada ya chama chake cha African National Congress ( ANC ) kushinda katika uchaguzi mkuu uliofanyika May 7' 2014.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni