Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis anaanza ziara Mashariki ya mbali, ziara ambayo itamchukua siku tatu.
Ziara hiyo ataanzia Jordan na baadaye kuelekea Israel na kisha Palestina.
Akiwa Amman, Jordan, Papa atawahutubia maelefu ya waumini wa Kikristo katika uwanja na baadaye ataenda kuwatembelea wakimbizi wa Syria.
Maandalizi ya kumpokea Papa yakiendelea Manger Square Bethlehem
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni