.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Mei 2014

TAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200


Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dr. Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, wakati wa akizindua mafunzao ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na sita yatakayofanywa chini ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira.

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyoya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne nasita yatakayoendeshwa chini ya taasisi hiyo, Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa DTP, Suheil Abdulrasul na Mkurugenzi Mtendaji wa DTBI, George Mulamula.

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akiteta jambo na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi wakati wa uzinduzi huo.

Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo.
 Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo. 

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla (katikati) na Anver Rajpar.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni