Timu ya taifa ya Colombia itangojea
kufanya maamuzi yake katika dakika za mwisho iwapo itamjumuisha
katika kikosi chake cha Kombe la Dunian majeruhi Radamel Falcao.
Falcao, anapona jeraha lake la kwenye
goti lililosababisha kufanyiwa upasuaji, kutokana na kuumia
akiichezea timu yake ya Monano kwenye mchezo wa kombe la Ufaransa
mwezi Januari.
Radamel Falcao bado yupo Monaco wakati
timu ya taifa ya Colombia ikiwa imeweka kambi nchini Argentina.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni