.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 22 Mei 2014

WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA BANDARI KENYA WAINGIA KATIKA MGOMO, SHUGHULI ZASIMAMA

Wafanyakazi wapatao 1,000 wa mamlaka ya Bandari nchini Kenya leo walikuwa katika mgomo mkubwa uliosababishwa na madai juu ya malipo yao. 

Wafanyakazi hao walikusanyika katika makao makuu ya mamlaka hiyo jiji Mombasa huku wakiimba " haki yetu, haki yetu, haki yetu ".

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni