.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 27 Mei 2014

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WAVUTIWA NA KUJIUNGA NA MFUKO WA GEPF

     Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Bw John Haule akifungua rasmi semina hiyo. 
Meneja Masoko na huduma kwa wateja wa Mfuko wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akitoa mada kwa wajumbe a baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje juu ya huduma zitolewazo na GEPF.
Katibu Mkuu Bw John haule akimpongeza Bw Aloyce Ntukamazina baada ya kuhitimisha mada juu ya umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa GEPF. 
Bi Jairo Kutoka katika kitengo cha Diaspora akipata maelezo ya kina kutoka kwa Bw Ntukamazina.
Baadhi ya wajumbe wa baraza wakijaza fomu za kujiunga na Mfuko huku wakipata maelekezo kutoka kwa afisa wa GEPF Bi Gloria Boniface. 
Bi Glory Boniface akigawa fomu za kujiunga na Mfuko kwa Wafanyakazi walioguswa na huduma zitolewazo na GEPF.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni