Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinuana akizungumza na wananchi katika kijiji cha Kibwi kwa mkorea wakati alipotembelea zahanati ambayo imekamilika lakini haijaanza kutoa huduma kutokana na kutokuwepo kwa nyumba za madaktari, mradi ambao ulisimama ukiwa kwenye msingi baada ya wananchi kukatazwa kuchangia ujenzi huo na mbunge wao Tundu Lisu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mkiwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni