Mwanadada Kim Kardashian akiwa jijini Paris katika maandalizi ya mwisho mwisho ya harusi yake na wanamuziki Kanye West itakayofanyika mwishoni mwa wiki hii siku ya jumamosi May 24' 2014
Kanye West akiwa amevaa koti linaloendana rangi na nguo aliyovaa mke wake mtarajiwa Kim Kardashian wakati wakiwa katika maandalizi ya harusi yao itakayo fanyika ya mwishoni mwa wiki hii jijini Paris.
Mtu na mkewe mtarajiwa wakikatiza mitaa ya Paris, Ufaransa
Wahudumu wakisaidia kupakia katika gari nguo zilizonunuliwa na maharusi hao watarajiwa, Kanye West na Kim Kardashian.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni