.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 27 Mei 2014

WATU 40 WAFARIKI KATIKA AJALI YA TRENI NCHINI INDIA

Zaidi ya abiria 40 waliokuwa wakisafiri kwa treni ya abiria iendayo kasi nchini India wamefariki dunia baada ya treni hiyo kuacha njia yake na kuangukia treni ya mizigo. 

Treni hiyo ya Gorakhpur Express ilikuwa ikisafiri kwa mwendo kasi kabla ya breki zake kushindwa kufanya kazi kabla ya kutokea kwa ajali hiyo karibu na kituo cha treni katika jimbo la Uttah Prades. 

Haijafahamika ilikuwa na abiria kiasi gani, japo maelfu ya watu hutumia usafiri wa treni kila siku nchini India.
 Hata hivyo inasemekana idadi ya watu waliofariki dunia inaweza kuongezeka, kwani kuna hofu kuwa baadhi ya abiria wengine wamebanwa katika mabehewa mara baada ya ajali hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni