Watu wapatao 40 wameuwawa wakiwemo
wapiganaji 30 katika mapambano yaliyodumu kwa saa 24 Mashariki mwa
Ukraine katika Mji wa Donetsk.
Mauaji hayo yanafuatia mapigano
makali ya katika mji huo, ambapo vikosi vya jeshi vimetumia ndege za
jeshi kuwapiga waasi wanaounga mkono Urusi.
Kiongozi wa waasi amedai kuwa
waliouwawa ni wapiganaji wenzake na kunataarifa damu zimetapakaa
katika eneo hilo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni