Waziri mmoja wa Malawi
amejiua, ambapo polisi wamesema ni kutokana na kupoteza kiti cha
ubunge katika uchaguzi mkuu uliofanyiaka siku ya Jumanne.
Polisi wa Malawi
wamesema Waziri huyo Godfrey Kamanya aliyekuwa Naibu Waziri wa
Serikali ya Mitaa amejiua kwa kujipiga risasi nyumbani kwake.
Hata hivyo msemaji wake amekanusha
ripoti hizo zinazoeleza kujiuwa kwake kunatokana na kupoteza kiti cha
ubunge.
Matokeo rasmi bado hayajatangazwa
katika uchaguzi huo ambao kunaushindani mkali katika kinyang'anyiro
cha urais.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni