.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 7 Oktoba 2014

BENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA WATEJA


SaugataBandyadhiyay (kulia) akizungumza na wateja waliofika katika tawi la Holland House jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wateja wa Benki ya CRDB.


Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ,Esther Kitoka (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa wateja waliofika katika tawi la Tabata jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wateja wa Benki ya CRDB ambapo viongozi wa benki hiyo wamekuwa wakitoa huduma za kibenki katika matawi mbalimbali ya benki hiyo.


Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja Saugata Bandyadhiyay (wa pili kulia) akisalimiana na wateja waliofika katika tawi la PPF Tower jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wateja wa Benki ya CRDB. Kulia ni Mkurugenzi wa tawi la PPF Tower.


Meneja wa Benki ya CRDB tawi Tabata, Hawa Sasya akisalimiana na watoto wa shule ya African Nursery  Primary School ya Tabata jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB iliyoanza Oktoba 6.


Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja Saugata Bandyadhiyay (kushoto), Mkurugenzi wa tawi la Holland House, wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Benki ya CRDB.

Mkurugenzi wa kituo cha Radio cha Sport FM cha Dodoma, Abdallah Majura (kulia) akipongezwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja Saugata Bandyadhiyay wakati maadhimisho ya Siku ya Wateja wa Benki ya CRDB wakati Mkurugenzi huyo alipotembelea tawi la Azikiwe Premier jijini Dar es Salaam.



Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja Saugata Bandyadhiyay (kushoto) akikata keki na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Mussula wakati maadhimisho ya Siku ya Wateja wa Benki ya CRDB. 


Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Saugata Bandyadhiyay akimlisha keki Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Mussula.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni