.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 9 Oktoba 2014

GREEN HILLS MBIONI KUFUNGULIWA MIKOCHENI B JIJINI DAR ES SALAAM

Kiota kipya cha Green Hills kilichopo meneo ya Mokocheni B jijini Dar es Salaam kipo mbioni kufunguliwa.
                                                           Kiota hiki kipo jirani na Rodrizio
Humo ndani kuna klabu ya kisasa ya muziki na sehemu maalum ya kuangalia mpira, Restaurant ya kisasa ambapo utajipatia vyakula vya kila aina, kuna sehemu maalum nyama tu, sehemu kupata vinywaji vikali pia sehemu nyingine ya vinywaji laini kama juice n.k.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni