Zaidi ya watu 43 wamefariki dunia na wengine wengi wamejeruhiwa nchini Yemen kufuatia shambulio la bomu kwenye mkutano wa hadhara wa watu wanaowaunga mkono Washia katika mji mkuu wa nchi hiyo, Sanaa.
Bomu hilo lililipuka wakati mamia ya wafuasi hao walipokuwa wameanza kukusanyika katika Viwanja wa Tahrir. Baadaye kidogo bomu lingine lililipuka katika kizuizi cha ukaguzi cha kijeshi mashariki mwa jimbo la Hadramawt ambapo wanajeshi zaidi ya 20 walipoteza maisha papo hapo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni