.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 14 Oktoba 2014

HATIMAYE KIM JONG-UN AJITOKEZA HADHARANI AKIWA NA MKONGOJO

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong - Un jana ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza na kumaliza uvumi juu ya hali yake ya kiafya  na hatma ya uongozi wa taifa hilo. 

Kiongozi huyo alionekana hadharani mara ya mwisho Septemba 03'2014. Jana alionekana hadharani wakati akitembelea na kukagua ujenzi wa nyumba za kisasa za wanasayansi huko Pyongyang. 

Hata hivyo alionekana akiwa na fimbo katika mkono wake wa kushoto, jambo lililotafsiriwa kuwa inamsaidia katika kutembea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni