.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 14 Oktoba 2014

LEO NI MIKA 15 TANGU KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Watanzania kote nchini leo wanaadhimisha miaka 15 tangu Muasisi wa Taifa hili na Rais wa Kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afariki dunia. 

Ilikuwa ni Oktoba 14' 1999, mwalimu Nyerere alipofariki dunia akiwa katika matibabu mjini London nchini Uingereza. 

Maadhimisho ya kitaifa ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa yatafanyika mkoani Tabora na kuongozwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
                                                     Mwalimu Nyerere akiwa katika moja ya mikutano

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni