.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 13 Oktoba 2014

MAAFISA WA AFYA LIBERIA WAWAOMBA WAUGUZI NA MADAKTARI WASIGOME

Maafisa wa Afya wa Liberia wamewaomba wauguzi na madaktari wasaidizi kutotekeleza mgomo wao wa kitaifa, wakati huu ambapo mlipuko wa Ebola ukiendelea.

Chama cha Taifa cha Watumishi wa Afya, kimekuwa kikitaka kuongezwa kwa malipo ya mwezi ya kufanya kazi hatarishi ya kuwatibu wagonjwa wa Ebola.

Nchini Marekani Rais Barack Obama ameagiza hatua zaidi kuchukuliwa ili kuhakikisha hatua za kiusalama zinachukuliwa wakati wa kumhudumia mtu anayeshukiwa kuugua Ebola.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni