.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 14 Oktoba 2014

WAFANYAKAZI WA TIGO WASHIRIKI MATEMBEZI YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA SARATANI YA MATITI JIJINI DAR ES SALAM


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akifanya mazoezi kabla ya kuanza matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar es Salam jana, Matembezi hayo yaliyodhaminiwa na kampuni ya simu yaTigo.


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akisalimiana na Meneja wa huduma za Jamii wa kampuni ya simu yaTigo, Woinde Shisael (kulia) kabla ya kuanza kwa matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar es Salam jana yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo. Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya saratani ya Ocean Road, Diwani Msemwa (kushoto kwake) na Mkurugenzi wa Wellworth Tanzania, Saul Basckin.


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (watatu kushoto) akiongoza matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar es Salam jana yaliyodhaminiwa na kampuni ya simu ya Tigo. Kulia ni Meneja wa huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Tigo, Woinde Shisael na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya saratani ya Ocean Road, Diwani Msemwa (kushoto kwa waziri)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni