Rais wa Jukwaa la Wabunge wa SADC
(SADC PF) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Mh. Anne Makinda akilakiwa kwa shangwe na Viongozi wa UWT
mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius
Nyerere jana Usiku ikiwa ni furaha za kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa
Jukwaa la Bunge la SADC mjini Victoria Falls, Zimabwbe.
Rais wa Jukwaa la Wabunge wa SADC
(SADC PF) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Mh. Anne Makinda akipokea shada la Maua kutoka kwa Bi.
Riziki Kingwande, Mkuu wa Idara ya Organisaztion ya UWT.
Katibu wa UWT Mhe. Amina Makilagi
akisoma salam za Pongezi kwa niaba ya UWT.
Rais wa Jukwaa la Wabunge wa SADC
(SADC PF) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Mh. Anne Makinda akiwapongeza viongozi wa UWT kwa mapokezi
Makubwa waliyomfanyia.P icha na Owen Mwandumbya.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni