.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 5 Novemba 2014

WATEJA 14 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHINDANO LA CASTLE LITE


Jumla ya washindi kumi na tano wa shindano la Castle lite yatch Party wamepatikan na wanatarajiwa kuwasili jijini Dar Es Salaam muda wowte kwaajili ya Tamasha kubwa la ndani ya bahari litakaloendeshwa nan a kampuni ya bia nchini TBL kupitia bia yake ya Castle Lite


Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Saaal Meneja msaidizi wa bia hiyo Victoria kimaro alisema kampeni ya kuwasaka washindi hao ilichukua takrubani miezi mitatu ambapo iliendeshwa nchi nzima na leo hii wa Bia ya Castle Lite, inazozalishwa na kusambazwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) leo imefunga rasmi  promosheni ya "Lite Up The Weekend" ambayo imeendeshwa kwa muda wa miezi mitatu katika mikoa  kadhaa ya hapa nchini Tanzania ambayo ni; Mbeya, Mwanza, Arusha, Dar es Salaam. Washindi walioshiriki katika promosheni hii


Alisema Bia hiyo iliweza kufanya promoshen hiyo kwa lengo kuu la kuwazawadia wateja wake na watanzania kiujumla ili kuweza kukutana pamoja na kufurahia kwa pamoja kwa kuweza kusherekea kwa kushiriki katika tamashi hilo kubwa litakalofanyika katikati ya bahari ya Hindi sanjari na burudani mbalimbali zitakazokuwepo


Pamoja na burudani hizi lakini safari nzima ya washindi wetu imegaramiwa ikiwa ni pamoja na malazi, chakula na mambo mengine mengi Zaidi


Kwa upande wake Meneja wa Castle Lite Bwana Geofray Makau aliwapongeza washindi hao na kuwataka kwenda kuwa mabalozi wazuri wa bia ya castle lite popote waendapo wakizingatia kwamba hii ndi bia pekee kuweza kuendesha shindano la kipekee kwa kuwashindanisha kistarabu wateja wake na hatimae kuweza kujishindia zawadi za fedha taslimu na kuhudhuria katika hili tamasha la kipekee
 


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni