Watu 6 wamefariki dunia mapema leo asubuhi nchini Kenya baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Miiri barabara ya Karatina - Kerugoya.
Katika ajali hiyo iliyohusisha magari aina ya Toyota Probox lililopoteza uelekeo na kwenda kugonga na Nissan Sunny, watu 5 walifariki dunia papo hapo na mwingine alifariki dunia baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Karatina kwa matibabu.
Ajali hiyo imetokea saa moja asubuhi
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni