BALOZI WA MAREKANI NCHINI AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NCHI ZA NJE, MH LOWASSA
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni