Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa
Urusi Nchini Tanzania Alexander A. Ranikh aliyefika kumuaga Rais
Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa
Urusi Nchini Tanzania Alexander A. Ranikh aliyefika kumuaga Rais
Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Urusi
Nchini Tanzania Alexander A. Ranikh baada ya kumaliza mazungumzo yao
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa amemaliza muda wake wa kazi
Nchini. (Picha na Ikulu Zanzibar).

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni