.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 16 Januari 2015

CHINA YAIOMBA KENYA KUWAKABIDHI WACHINA WANAOSHIKILIWA NAIROBI

Serikali ya China imewasilisha rasmi ombi la kuitaka nchi ya Kenya, kuwakabidhi kwao wachina 76 ambao wanakabiliwa na kesi ya uhalifu wa kimtandao Jijini Nairobi.

Watuhumiwa hao walikamatwa Jijini Nairobi, wameiba shilingi bilioni 1.5 za Kenya kwa watu mbalimbali nchini China kwa kutumia njia ya mtandao, mamlaka za China zimesema.

Balozi wa China nchini Kenya, Liu Xianfa, ameiandikia barua Wizara ya Mambo ya Nje akitaka watuhumiwa hao wakabidhiwe China kutokana na uchunguzi kubaini wote walioibiwa fedha hizo ni raia wa China.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni