.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 16 Januari 2015

WATUHUMIWA WA UGAIDI WAWILI WAUWAWA KATIKA OPERESHENI YA POLISI NCHINI UBELGIJI

Watuhumiwa wawili wa kujitoa Jihadi wameuwawa katika operesheni ya kukabiliana na ugaidi, mashariki mwa Ubelgiji.

Maafisa wa nchi hiyo wamesema mtuhumiwa watatu amekamatwa katika msako uliofanyika Verviers pamoja na silaha kadhaa zimeripotiwa kupatikana.

Mwendesha mashtaka Eric Van Der Sypt amewaambia waandishi wa habari kuwa polisi ilililenga kundi lililorejea kutoka Syria waliokuwa wanajianda kufanya shambulio muda wowote. Watuhumiwa hao waliwarushia risasi polisi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni