Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri
wa Fedha Saada Mkuya (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja
na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa
(BADEA) baada ya mazungumzo kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam Januari 16, 2015.Kutoka kushoto ni Abdulrahm Hassan
Naq,Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic
Development in Africa (BADEA) baada ya kukutana nao kwenye Ofisini
kwake jijini Dar es Salaam Januari 16, 2015. Kutoka kushoto ni
Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya
(kushoto) akiteta na Kiongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic
Development in Africa (BADEA) , Abdulrahm Hassan Naq baada ya
mazungumzo kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wa Benki
hiyo, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam Januari 16,
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni