Conor McGregor amemdunda Dennis
Siver katika raundi ya pili huko Boston katika mchezo mapigano wa
UFC.
McGregor sasa anatarajiwa kukutana
na mfalme anayetawala kwa sasa mchezo huwa wa mapigano kwa kutumia
ngumi, mateke na vifuti katika pambano la Mei huko Las Vegas.
Conor McGregor akimpiga kifuti Dennis
Siver



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni