Nchi ya Cuba imeitaka Marekani
kurejesha kambi ya kijeshi ya Guantanamo Bay, kabla ya uhusiano wao
na nchi hiyo haujarejea katika hali ya kawaida.
Katika hotuba yake, rais Raul Castro
pia ametaka kuondolewa kwa vikwazo vya Marekani na Cuba kuondolewa
kwenye orodha ya ugaidi.
Mwezi uliopita nchi hizo mbili
zilitangaza kufufua uhusiano wao, na kuanzisha ushirikiano wa
kidiplomasia.
Gereza la Guantanamo Bay linalomilikiwa na Marekani
Gereza la Guantanamo Bay linalomilikiwa na Marekani


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni