Sehemu ya barabara ya Ndundu–Somanga (KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.
Mhandisi wa Mkoa wa Lindi Eng. Isack
Mwanawima akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.
Musa Iyombe.
Wanahabari wakimhoji Dereva wa basi
la abiria kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam kuhusiana na kukamilika
kwa sehemu ya barabara hiyo. Picha na kitengo cha Mawasiliano
Serikalini-Wizara ya Ujenzi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni