.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 18 Januari 2015

UINGEREZA YAKABILIWA NA BARIDI KALI NA BARAFU INAYOHATARISHA MAISHA YA WATU

Taasisi ya misaada imeonya kuwa baridi inaweza ikaua mtu mmoja nchini Uingereza katika kila dakika saba kutokana na hali ya hewa ya barafu iliyopo hivi sasa.

Karibu ya wazee milioni moja wapo katika hatari kutokana na baridi kali na hawana uwezo wa kumudu gharama za mashine za joto nyumbani kwao.

Wakati hayo yakisema hali ya baridi inazidi kuongezeka hii leo na kesho huku kipimo cha joto kikionyesha kuwa ni nyuzi joto -15.
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni