.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 18 Januari 2015

WABUNGE WAWILI WAMTAKA RAIS UHURU KENYATTA KUPUUZIA KUFANYA MAZUNGUMZO NA CORD

Wabunge wawili wa Kiambu wamemsihi rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto to kupuuzia wito wa kufanya mazungumzo na muungano wa CORD, kwa madai kuwa hawana hoja za msingi.

Mwakilishi wa Wanawake wa Kiambu, Annah Nyokabi na Mbunge wa jimbo la Lari, Mburu Kahangara wamesema kitendo cha CORD kusisitiza mazungumzo ni mbinu za kuionyesha dunia uongozi wa serikali ya Jubilee umeshindwa.

Kahangara amesema kuwa iwapo Uhuru atakubaliana na matakwa ya kambi ya upinzani, kutapelekea uwezo wake wa kufanya maamuzi sahihi kuhojiwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni