Alhamisi, 22 Januari 2015
FAINALI ZA MATAIFA AFRIKA, GABON YATANDIKWA NA CONGO
Timu ya taifa ya Congo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gabon katika mchezo wa kundi A wa kuwania kombe la Mataifa ya Afrika, fainali ambazo zinafanyika Equatorial Guinea.
Katika mchezo huo uliochezwa jana usiku, Congo walijipatia bao katika dakika ya 48 ya mchezo mfungaji akiwa ni Prince Oniangue na kufanikiwa kuongoza kundi hilo wakiwa na pointi 4 mkononi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni