.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 22 Januari 2015

BARAZA LA MAWAZIRI LA JAMAICA LAIDHINISHA MUSWADA WA KURUHUSU UVUTAJI BANGI

Baraza la Mawaziri la nchini Jamaica limeidhinisha muswada utakaohalalisha matumizi kidogo ya bangi.

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa taifa hilo la marastafarian, ambalo linatumia mmea huo kama sehemu ya imani yao, sasa kuweza kuvuta bangi bila kuvunja sheria za nchi.

Muswada huo pia unatoa fursa ya kutolewa leseni za kulima bangi, mauzo na usambazaji kwa ajili ya kutumika kama dawa na tiba mbalimbali.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni