.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Januari 2015

HOTELI YASEMA RUTO SI MMILIKI WA HOTELI ILIYOPORA ENEO LA MICHEZO LA SHULE

Wakili wa hoteli inayodaiwa kupora ardhi ya eneo la michezo la watoto wa shule ya msingi ya barabara ya Lang'ata Jijini Nairobi amesema kuwa Naibu Rais wa Kenya William Ruto si mmiliki wa hoteli hiyo.

Sakata la kuvamiwa kwa eneo hilo jana lilipelekea kujeruhiwa kwa wanafunzi watano na polisi mmoja baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi kwa watoto, walimu wao na wanaharakati walioandamana kupinga uvamizi huo.

Kufuatia tukio hilo wananchi Kenya walimelikosoa jeshi la polisi kwa kutumia nguvu kubwa dhidi ya watoto, jambo ambalo limeilazimu polisi kutoa taarifa ya kumsimamisha kazi afisa aliyesimamia operesheni hiyo OCPD Elija Mwangi. 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni