Kimbunga cha kisiasa kinatarajia
kuikumba Ulaya mwaka 2015, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na
kitengo cha Intelijensia ya Uchumi.
Ripoti hiyo inasema vyama vinavyokua na
kupata umaarufu, vitafanikiwa kushinda zaidi katika chaguzi, na vyama
vikuu vitalazimika kufiria kuunda muungano ambao haukuzaniwa.
Mgogoro wa demokrasia wa Ulaya ni pengo
baina ya watu wachache waliohodhi madaraka pamoja na wapiga kura,
ripoti hiyo imeeleza.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni