.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 28 Januari 2015

INDIA YASHEREHEKEA MIAKA 66 YA UHURU

Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akipandisha Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo, maadhimisho hayo yamefanyika katika Ofisi za Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akitowa heshima wakati upandishaji wa Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo kwa Zanzibar yameadhimishwa katika viwanja vya Obalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akiwahutubia Wananchi wenye Asili ya India, Akisoma hutuba kwa niaba ya Rais wa India wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akiwahutubia Wananchi wenye Asili ya India, Akisoma hutuba kwa niaba ya Rais wa India wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo Migombani Zanzibar.
Wananchi wenye Asili ya India wakiwa katika viwanja vya Ubalozi wa India Zanzibar wakati wa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa India.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akizungumza na Maofisa wa Ubalozi wa India Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akibadilishana mawazo na Viongozi wa Madhehebu ya Bohora walioko Zanzibar, baada ya kusoma risala ya Rais wa India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India. maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya Ofisi ya Ubalozi wa India Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wananchi wenye Asili ya India waki katika picha ya kumbukumbu kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66, zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi wa India migombani Zanzibar. Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni