.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 28 Januari 2015

KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI KIM JONG-UN KUTEMBELEA URUSI

Nchi ya Urusi imesema kiongozi wa Korea Kaskazini amekubali mualiko wa kutembelea Moscow mwezi Mei, Shirika la Habari la Korea Kaskazini limeripoti.

Tovuti ya shirika hilo imeandika majibu hayo ya mualiko wa serikali ya Urusi, hata hivyo haikutaja jina la rais Kim Jong-un.

Rais Kim Jong-un hajawahi kutoka nje ya nchi yake tangu atwae madaraka ya kuliongoza taifa la Korea Kaskazini mwishoni mwa mwaka 2011, baada ya kufariki baba yake Kim Jong-il.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni