Mchezo huu unatarajiwa kuwa mgumu kutokana ugumu wa kufungika kirahisi kwa Swansea.
Michezo mingine ya ligi kuu hii leo, Aston Villa watakuwa nyumbani kucheza na Liverpool, wakati wenyewe Manchester United watasafiri kuwafuata QPR.
Burnley watakuwa nyumbani kucheza na Crystal Palace na Leicester watateremka dimbani kucheza na Stoke.
Mchezo mwingine leo ni kati ya Tottenham dhidi ya Sunderland na Newcastle watacheza na Sunderland.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni