MAAJAR AKUTANA NA WANAWAKE WA TARAFA YA NGORONGORO
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Mwanaid Maajar ( wa tatu kutoka kulia ) alipokutana na baraza la wanawake wa Tarafa ya Ngorongoro kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili ili kuzipatia ufumbuzi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni