.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Januari 2015

MFALME WA SAUDI ARABIA ABDULLAH BIN ABDULAZIZ AFARIKI DUNIA

Mfalme wa Saudi Arabia Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia ikiwa wiki kadhaa kupita tangu alazwe hospitali.

Mfalme Abdullah ambaye inasemekana anaumri wa mika 90, alikuwa akisumbuliwa na maambukizi kwenye mapafu.

Taarifa iliyotolewa na maafisa wa Mfalme mapema leo, imesema ndugu yake mwenye umri wa miaka 79 aitwae Salman ndie atakuwa mfalme mpya wa Saudi Arabia.
                              Mfalme Abdullah bin Abdulaziz akiwa na rais Barack Obama

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni