.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Januari 2015

MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA UHAMIAJI (IOM) NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien Thuriaux alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kiongozi huyo wa IOM alifika ofisini kwa Waziri Chikawe kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji pamoja na ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien Thuriaux alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kiongozi huyo wa IOM alifika ofisini kwa Waziri Chikawe kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji pamoja na ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni